From Wikipedia, the free encyclopedia
Gangtok ni jina la mji mkuu wa jimbo la Sikkim katika Uhindi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2001, mji una wakazi wapatao 30,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 1437 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Jiji la Gangtok | |
Mahali pa mji wa Gangtok katika Uhindi |
|
Majiranukta: 27°19′48″N 88°37′12″E | |
Nchi | Uhindi |
---|---|
Jimbo | Sikkim |
Wilaya | Sikkim Mashariki (East Sikkim) |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 29,162 |
Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Gangtok kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.