Goris
From Wikipedia, the free encyclopedia
Goris (Kiarmenia: Գորիս; mpaka 1924, Geryusy, Geryusi au Gerusi; zamani, Goraik, Gores, Hin Kores, Kores, Korus, Koru, Kuris, Zangizour, Zankazour, na Kyuryus) ni mji uliopo kwenye mkoa wa Syunik huko nchini Armenia. Takriban kilomita 240 kutoka mji mkuu wa nchi Yerevan na km 70 kutoka Syunik Marz katikati mwa Kapan. Mji una wakazi wapatao 21,935 (Sensa ya 2008).