From Wikipedia, the free encyclopedia
Grand Theft Auto 2 ni mchezo wa video uliyoundwa na DMA Design na kutolewa na Rockstar Games.
Mchezo huu ulitolewa tarehe 30 Septemba 1999 kwa ajili ya Microsoft Windows, na mnamo tarehe 22 Oktoba 1999 kwa ajili ya PlayStation. Ni sehemu ya mwisho ya Grand Theft Auto 1997.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Grand Theft Auto 2 kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.