Győr-Moson-Sopron
From Wikipedia, the free encyclopedia
Győr-Moson-Sopron ni moja ya wilaya 19 ya kujitawala ya Hungaria. Idadi ya wakazi wake ni takriban 444,384. Mji wake mkuu ni Győr.
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Győr-Moson-Sopron | |
Mahali pa Wilaya ya Győr-Moson-Sopron katika Hungaria | |
Nchi | Hungaria |
---|---|
Mkoa | Transdanubia ya Magharibi |
Mji mkuu | Győr |
Eneo | |
- Jumla | 4,089 km² |
Idadi ya wakazi (2001) | |
- Wakazi kwa ujumla | 444,384 |
Tovuti: http://www.gymsmo.hu/ |
Funga