![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/5/56/Tenn%25C5%258D_Hanazono_detail.jpg/640px-Tenn%25C5%258D_Hanazono_detail.jpg&w=640&q=50)
Hanazono wa Japani
From Wikipedia, the free encyclopedia
Hanazono (14 Agosti, 1297 – 2 Desemba, 1348) alikuwa mfalme mkuu wa 95 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Tomihito, na alikuwa mwana wa nne wa Fushimi. Mwaka wa 1308 alimfuata binamu yake Go-Nijo, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka 1318. Aliyemfuata kama Tenno ni binamu yake Go-Daigo.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/5/56/Tenn%C5%8D_Hanazono_detail.jpg/320px-Tenn%C5%8D_Hanazono_detail.jpg)