Harry S. Truman
From Wikipedia, the free encyclopedia
Harry S. Truman (8 Mei 1884 – 26 Desemba 1972) alikuwa Rais wa 33 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1945 hadi 1953. Kaimu Rais wake alikuwa Alben Barkley (1949-53).
Ukweli wa haraka 33 Rais wa Marekani, Makamu wa Rais ...
Harry S. Truman | |
Makamu wa Rais | Alben W. Barkley (1949–1953) |
---|---|
mtangulizi | Franklin D. Roosevelt |
aliyemfuata | Dwight D. Eisenhower |
tarehe ya kuzaliwa | (1884-05-08)Mei 8, 1884 Lamar, Missouri, Marekani. |
tarehe ya kufa | 26 Desemba 1972 (umri 88) Kansas City, Missouri, U.S. |
ndoa | Bess Wallace (m. 1919) «start: (1919-06-28)»"Marriage: Bess Wallace to Harry S. Truman" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/Harry_S._Truman) |
watoto | Margaret Truman |
Fani yake | Mkulima |
dini | Ukristo |
signature |
Funga