Herne
From Wikipedia, the free encyclopedia
Herne ni mji wa Rhine Kaskazini-Westfalia nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Emscher. Idadi ya wakazi wake ni takriban 165.632. Mji ulianzishwa 880.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Herne | |||
| |||
Mahali pa mji wa Herne katika Ujerumani |
|||
Majiranukta: 51°33′0″N 7°13′0″E | |||
Nchi | Ujerumani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Rhine Kaskazini-Westfalia | ||
Idadi ya wakazi (2009) | |||
- Wakazi kwa ujumla | 165.632 | ||
Tovuti: www.herne.de |
Funga