Hifadhi ya Taifa ya Hell's Gate
From Wikipedia, the free encyclopedia
Hifadhi ya Taifa ya Hell's Gate iko kusini mwa Ziwa Naivasha nchini Kenya, kaskazini magharibi mwa Nairobi. Mbuga ya Taifa ya Hell's Gate inapata jina lake kutokana na vifusi vyembamba vilivyovunjika kutoka kwa miinuko, kwa wakati mmoja ilikuwa vijito vya ziwa la kale lililolisha binadamu wa kwanza katika Bonde la Ufa. Ilianzishwa mwaka wa 1984. Mbuga hii ndogo inajulikana kwa wingi wake wa aina ya wanyamapori na kwa ajili mandhari yake. Hii ni pamoja na minara ya Fischer's Tower na Central Tower na Giba ya Hell's Gate. Hifadhi hii ya Taifa pia ni makao ya vituo vitatu vya nishati za mvuke zilizoko Olkaria. Hifadhi hii ina kambi tatu msingi na inajumuisha a Kituo cha Utamaduni wa Wamasai, kinachotoa elimu kuhusu kabila la Wamasai, utamaduni na mila zake.
Hifadhi ya Taifa ya Hell's Gate | |
Hell's Gate National Park | |
IUCN Jamii II (Hifadhi ya Taifa) | |
Mahali pa Hifadhi ya Taifa ya Hell's Gate | |
Mahali | Mkoa wa Bonde la Ufa, Kenya |
---|---|
Nearest city | NairobiNearest city: Nairobi |
Coordinates |
0°54′57″S 36°18′48″E{{#coordinates:}}: cannot have more than one primary tag per page |
Eneo | 68.25 km² |
Kuanzishwa | 1984[1] Kuanzishwa: 1984[1] |
Mamlaka ya utawala | Kenya Wildlife Service |