Historia ya teknolojia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Historia ya teknolojia ni historia ya ubunifu wa vifaa na mbinu za kutumia vifaa hivi katika uzalishaji wa mahitaji, bidhaa na huduma katika jamii.
Maelezo zaidi Makala hii haijakamalishwa, inahitaji uhariri wa kuendelea ...
Funga
Kuna mbinu mbalimbali kupanga historia hii na kutambua ngazi za maendeleo ndani yake.