Hodegetria
From Wikipedia, the free encyclopedia
Hodegetria (kutoka Kigiriki Ὁδηγήτρια, Hodēgḗtria) ni aina ya picha takatifu ikimuonyesha Theotokos (Bikira Maria) akiwa amempakata Mtoto Yesu na kuelekeza mkono wake kwake kama kwa kumtambulisha kuwa ndiye wokovu wa ulimwengu.