DemografiaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Demografia ni sayansi ya jamii inayozingatia takwimu za idadi ya binadamu. Ramani ya nchi za dunia kadiri ya idadi ya watu. Msongamano wa watu nchini Tanzania kadiri ya sensa ya mwaka 2022. Inaweza kuhusu mabadiliko yoyote ya makundi ya watu mbalimbali kadiri ya mahali na wakati, k. mf. kulingana na wengine kuzaliwa, kufa, kuhama, kuzeeka na kufa[1].
Demografia ni sayansi ya jamii inayozingatia takwimu za idadi ya binadamu. Ramani ya nchi za dunia kadiri ya idadi ya watu. Msongamano wa watu nchini Tanzania kadiri ya sensa ya mwaka 2022. Inaweza kuhusu mabadiliko yoyote ya makundi ya watu mbalimbali kadiri ya mahali na wakati, k. mf. kulingana na wengine kuzaliwa, kufa, kuhama, kuzeeka na kufa[1].