Ishirini na nne
From Wikipedia, the free encyclopedia
Ishirini na nne (pia arubaishirini, kutoka Kiarabu) ni namba inayoandikwa 24 kwa tarakimu za kawaida na XXIV kwa zile za Kirumi.
Ni namba asilia inayofuata 23 na kutangulia 25.
Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 2 x 2 x 3.