From Wikipedia, the free encyclopedia
Ivo Helory, T.O.S.F. (pia: Yvo, Yves, Ives, Erwan, Iwan, Youenn au Eozenn; Kermartin, karibu na Tréguier, Brittany, Ufaransa Kaskazini-Magharibi, 17 Oktoba 1253 - Louennac, karibu na Tréguier, 19 Mei 1303) alikuwa msomi aliyepata kuwa padri mwadilifu ambaye kwa upendo wa Kristo alijitahidi sana kusaidia maskini, akiwapokea nyumbani mwake, pamoja na kutetea wanyonge na kuleta haki na amani kati ya watu[1].
Alikuwa mwanachama wa Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko.
Alitangazwa mtakatifu na Papa Klementi VI mnamo Juni 1347.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.