Jönköping
From Wikipedia, the free encyclopedia
Jönköping ni mji nchini Uswidi. Ni mji mkubwa wa tisa katika nchi ya Uswidi. Jönköping ni mji mkuu wa mkoa ya Småland. Kuna wakazi 125,154 (mwaka 2005).