John Caldwell Calhoun (18 Machi 1782 31 Machi 1850) alikuwa Kaimu Rais wa Marekani chini ya Rais John Quincy Adams, halafu chini ya Rais Andrew Jackson kuanzia mwaka wa 1825 hadi 1832 alipojiuzulu. Mwaka wa 1844 aligombea urais yeye mwenyewe lakini akashindwa na James Polk.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John C. Calhoun kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
John Calhoun

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.