Karlsruhe
From Wikipedia, the free encyclopedia
Karlsruhe ni mji wa Baden-Württemberg nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Rhine. Idadi ya wakazi wake ni takriban 290,000. Mji ulianzishwa 1715.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Karlsruhe | |||
| |||
Mahali pa mji wa Karlsruhe katika Ujerumani |
|||
Majiranukta: 49°1′0″N 8°24′0″E | |||
Nchi | Ujerumani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Baden-Württemberg | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 290,736 | ||
Tovuti: www.karlsruhe.de |
Funga