From Wikipedia, the free encyclopedia
Kidjadjawurrung kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wadjadjawurrung katika jimbo la Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kidjadjawurrung ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidjadjawurrung kiko katika kundi la Kikulin.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidjadjawurrung kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.