Kinu cha WarangiFrom Wikipedia, the free encyclopedia Kinu cha Warangi ni aina ya chombo ambacho hutengenezwa kwa mti. Kwa Kirangi huitwa "kʉnyu". Kinu hutumika kwa kutwangia nafaka ili kuondoa makapi, maganda na kadhalika. Kinu kilivyochorwa na Ndg. Yovin Maingu kutoka Haubi, Wilaya ya Kondoa.
Kinu cha Warangi ni aina ya chombo ambacho hutengenezwa kwa mti. Kwa Kirangi huitwa "kʉnyu". Kinu hutumika kwa kutwangia nafaka ili kuondoa makapi, maganda na kadhalika. Kinu kilivyochorwa na Ndg. Yovin Maingu kutoka Haubi, Wilaya ya Kondoa.