Kipimo cha tawanyiko
From Wikipedia, the free encyclopedia
Katika takwimu, kipimo cha tawanyiko (kwa Kiingereza : measure of statistical dispersion) ni namba moja inaeleza kwa ufupi namba ubadilikajibadilikaji wa sampuli ya data.
Kinapatwa kwa hesabu kama mkengeuko wastani, muachano au masafa.
Kipimo cha tawanyiko kinapinga kipimo cha mwelekeo wa kati.