Kisiwa cha Sigulu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kisiwa cha Sigulu ni kati ya visiwa vya Uganda (Mkoa wa Mashariki, Wilaya ya Namayingo).
Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa wa eneo.