![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/a/ac/Flag_of_the_Cape_Colony_%25281876%25E2%2580%25931910%2529.svg/langsw-640px-Flag_of_the_Cape_Colony_%25281876%25E2%2580%25931910%2529.svg.png&w=640&q=50)
Koloni la Rasi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Koloni la Rasi lilikuwa koloni la Uholanzi kuanzia mwaka 1652 hadi 1806 na baadaye la Uingereza kuanzia 1806 hadi 1910. Jina limetokana na Rasi ya Tumaini Jema iliyoko karibu na mji wa Cape Town katika Afrika Kusini ya leo.
| ||
Lugha rasmi | Kiingereza na Kiholanzi 1 | |
Mji mkuu | Cape Town | |
Eneo | 569,020 km² (1910) | |
![]() | ||
1 Hadi 1806 Kiholanzi ilikuwea lugha rasmi pekee; kati ya 1806 na 1882 Kiingereza. Tangu 1882 lugha zote mbili zilikuwa lugha rasmi. |