Kubiringiza
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kubiringiza (kwa Kiingereza: scrolling) ni tendo la kusogeza picha au matini kwenye skrini juu na chini au kushoto na kulia.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/3/34/Parallax_scrolling_example_scene.gif/320px-Parallax_scrolling_example_scene.gif)
Kwenye tarakilishi, nakala au picha zinaweza kubiringizwa juu na chini kwa kipanya.
Juu ya hayo, nakala na picha zinaweza kubiringizwa kwa kibonyezo cha ukurasa unaofuata au kibonyezo cha ukurasa uliotangulia vya baobonye.