Lauren Beukes
Mwandishi wa riwaya wa Afrika Kusini / From Wikipedia, the free encyclopedia
Lauren Beukes (alizaliwa 5 Juni 1976) ni mwandishi wa riwaya, mwandishi wa hadithi fupi, mwandishi wa habari na mwandishi wa runinga kutokea nchini Afrika Kusini. Beukes kwa sasa anaishi Cape Town.
Ukweli wa haraka Amezaliwa, Kazi yake ...
Lauren Beukes | |
Amezaliwa | 5 Juni1976 Afrika Kusini |
---|---|
Kazi yake | mwandishi |
Funga