From Wikipedia, the free encyclopedia
Ligi (kutoka Kiingereza: league) ni mkusanyiko wa timu za mchezo maalumu ambazo zinapambana katika daraja fulani ili kumpata bingwa kwa kutegemea wingi wa pointi, magoli n.k.
Siku hizi ni maarufu sana ligi za mpira wa miguu za baadhi ya nchi, kama vile Uingereza.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Ligi kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.