London, Ontario
From Wikipedia, the free encyclopedia
London ni mji mkubwa wa nne katika mkoa la Ontario. Mwaka 2006 ilikuwa na wakazi 352,395 mjini, pamoja na mitaa ya jirani rundiko la mji lina wakazi 457,720. Eneo lake ni 420.57 km².
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
London | |
Nchi | Kanada |
---|---|
Mkoa | Ontario |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 352,395 |
Tovuti: www.london.ca |
Funga
Mji ulianzishwa mwaka 1826.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu London, Ontario kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |