Gofu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kuhusu mchezo angalia Gofu (michezo)
Gofu (pia ghofu; kutoka Kiarabu قف quff) ni namna ya kumtaja mtu au kitu kisicho katika hali zuri, kama mtu aliyekonda mno.[1]
Mara nyingi magofu yanataja sehemu ambako mabaki ya majengo ya zamani yanaonekana, kama vile magofu ya Gedi, magofu ya Kilwa Kisiwani.