From Wikipedia, the free encyclopedia
Melissa Ponzio (alizaliwa Agosti 3, 1972) ni mwigizaji wa Marekani, anajulikana kwa kazi yake kama Melissa McCall katika Teen Wolf na Karen katika Walking Dead.
Hivi karibuni, Ponzio ameonekana katika Chicago Fire kama Donna Robbins.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Melissa Ponzio kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.