KimondoFrom Wikipedia, the free encyclopedia Kimondo ni kiolwa kidogo cha angani kinachozunguka Jua katika anga-nje. Kikiingia katika angahewa la Dunia kinaonekana kama mwali wa moto angani. Vimondo vinavyong'aa angani; picha imechukuliwa kwa kufungua lenzi ya kamera kwa muda wa dakika kadhaa. Mistari mirefu ni njia za vimondo viliivyowaka katika kipindi hiki. Nyota katika picha hii hazionekani tena kama nukta, bali ni mistari mifupi kwa vile Dunia pamoja na anga yake imetembea kidogo katika muda wa kupiga picha.
Kimondo ni kiolwa kidogo cha angani kinachozunguka Jua katika anga-nje. Kikiingia katika angahewa la Dunia kinaonekana kama mwali wa moto angani. Vimondo vinavyong'aa angani; picha imechukuliwa kwa kufungua lenzi ya kamera kwa muda wa dakika kadhaa. Mistari mirefu ni njia za vimondo viliivyowaka katika kipindi hiki. Nyota katika picha hii hazionekani tena kama nukta, bali ni mistari mifupi kwa vile Dunia pamoja na anga yake imetembea kidogo katika muda wa kupiga picha.