Mkoa wa Kaskazini-Mashariki (Kenya)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kaskazini-Mashariki ulikuwa mmoja kati ya mikoa 9 ya Kenya. Eneo lake lilikuwa km² 127 000 Archived 29 Novemba 2006 at the Wayback Machine. na wakazi 962,143 (sensa ya 1999).
| |
Makao Makuu | Garissa |
’‘‘Mji Mkubwa’’’ | Garissa |
Eneo - Jumla |
Nafasi ya 3 kati ya mikoa ya Kenya 126,186 km² |
Wakazi (kadirio) - Jumla (2007) - Msongamano wa watu / km² |
Nafasi ya 8 kati ya mikoa ya Kenya 459,000 4 /km² |
Lugha mkoani | Kisomali Kioromo |
Wakati wa ukoloni eneo hilo liliitwa "Northern Frontier District" (Eneo la mpakani wa kaskazini) likitawaliwa pekee na sehemu kubwa ya Kenya.
Wakazi walio wengi ni Wasomalia kwa lugha na utamaduni; kuwepo kwao ndani ya Kenya badala ya Somalia ni urithi wa mipaka ya kikoloni. Wengine ni Waborana, Warendille na Waturkana.
Kuna pia makambi makubwa ya wakimbizi Wasomalia, hasa karibu na Daadab.