Mkoa wa Kiên GiangFrom Wikipedia, the free encyclopedia Kiên Giang ni mkoa wa Vietnam. Mji mkuu ni Rạch Giá. Eneo lake ni 6,299 km². Mwaka 2009 wakazi 1,688,248 walihesabiwa. Mahali pa Kiên Giang katika Vietnam
Kiên Giang ni mkoa wa Vietnam. Mji mkuu ni Rạch Giá. Eneo lake ni 6,299 km². Mwaka 2009 wakazi 1,688,248 walihesabiwa. Mahali pa Kiên Giang katika Vietnam