Mkoa wa Mersin
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mersin ni jina la mkoa uliopo mjini kusini mwa nchi ya Uturuki. Mkoa upo kwenye pwani ya Bahari ya Mediteranea kati ya Antalya na Adana. Mji mkuu wake ni Mersin.
Ukweli wa haraka Maeneo ya Mkoa wa Mersin nchini Uturuki, Maelezo ...
Mkoa wa Mersin | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Mersin nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Mediterranean |
Eneo: | 15,853 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 2.275.216 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 33 |
Kodi ya eneo: | 0324 |
Tovuti ya Gavana | http://www.mersin.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/mersin |
Funga