![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/7/7c/Democratic_Republic_of_the_Congo_%252826_provinces%2529_-_Sankuru.svg/langsw-640px-Democratic_Republic_of_the_Congo_%252826_provinces%2529_-_Sankuru.svg.png&w=640&q=50)
Mkoa wa Sankuru
jimbo la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo / From Wikipedia, the free encyclopedia
Mkoa wa Sankuru ni moja ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Idadi ya wakazi wake ni takriban 1,500,000. Mji wake mkuu ni Lodja.
Ukweli wa haraka Nchi, Wilaya ...
Mkoa wa Sankuru Sankuru |
|
![]() Sankuru |
|
Majiranukta: 4°58′S 23°26′E | |
Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
---|---|
Wilaya | 6 |
Mji mkuu | Lodja |
Serikali | |
- Gouverneur | |
Eneo | |
- Jumla | 104,331 km² |
Idadi ya wakazi (1998) | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,500,000 |
Funga