Mkoa wa Şırnak
From Wikipedia, the free encyclopedia
Şırnak ni jina la mkoa uliopo mjini kusini-mashariki mwa kanda ya Anatolia huko nchnii Uturuki. Mkoa una wakazi wapatao 403,607 (makadirio ya 2006). Awali idadi ya wakazi ilikuwa 353,197 na hiyo ilikuwa kunako mwaka wa 2000.
Ukweli wa haraka Maeneo ya Mkoa wa Şırnak nchini Uturuki, Maelezo ...
Mkoa wa Şırnak | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Şırnak nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Kusinimashariki ya Anatolia |
Eneo: | 7,172 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 403,607 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 73 |
Kodi ya eneo: | 0346 |
Tovuti ya Gavana | http://www.şırnak.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/şırnak |
Funga