Mlima FujiFrom Wikipedia, the free encyclopedia Mlima Fuji ni mlima wa volikano wenye kimo cha m 3,776 juu ya usawa wa bahari. Mlima Fuji, Japan, unaonekana kutoka Oshino Hakkai Uko kwenye kisiwa kikuu cha Honshu nchini Japani na unavuta watalii wengi. Ndio mrefu kuliko yote ya nchi hiyo.
Mlima Fuji ni mlima wa volikano wenye kimo cha m 3,776 juu ya usawa wa bahari. Mlima Fuji, Japan, unaonekana kutoka Oshino Hakkai Uko kwenye kisiwa kikuu cha Honshu nchini Japani na unavuta watalii wengi. Ndio mrefu kuliko yote ya nchi hiyo.