MpasuajiFrom Wikipedia, the free encyclopedia Mpasuaji ni daktari wa tiba ambaye hufanya shughuli za upasuaji katika viungo mbalimbali vya binadamu. Sanamu ya daktari Mhindi wa kale, Sushruta, mpasuaji wa kwanza katika kumbukumbu za dunia, ambaye huchukuliwa kama 'Baba wa Utabibu wa Upasuaji' na mmoja wa waanzilishi wa Upasuaji wa plastiki ambao kazi yake kubwa ni kurekebisha viungo vya mwili na hata kwa urembo hasa miaka ya karibuni. Pia kuna upasuaji katika utabibu wa meno na utabibu wa mifugo.
Mpasuaji ni daktari wa tiba ambaye hufanya shughuli za upasuaji katika viungo mbalimbali vya binadamu. Sanamu ya daktari Mhindi wa kale, Sushruta, mpasuaji wa kwanza katika kumbukumbu za dunia, ambaye huchukuliwa kama 'Baba wa Utabibu wa Upasuaji' na mmoja wa waanzilishi wa Upasuaji wa plastiki ambao kazi yake kubwa ni kurekebisha viungo vya mwili na hata kwa urembo hasa miaka ya karibuni. Pia kuna upasuaji katika utabibu wa meno na utabibu wa mifugo.