Mrasiberi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mirasiberi (Rubus subg. Idaeobatus) ni mimea mitambaa ya familia Rosaceae yenye miiba ingawa kuna aina zikuzwazo bila miiba. Matunda yao huitwa rasiberi. Zinatofautiana na matoje kwa nususi kwamba mwisho wa kikonyo unakaa ndani ya toje likikonyolewa ilhali unatoka kwa rasiberi.
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi ...
Mrasiberi (Rubus subg. Idaeobatus) | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mrasiberi wa mwitu | ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Funga
Mirasiberi hukuzwa katika maeneo yasiyo na joto sana. Rasiberi hupendwa na watu wengi lakini hazipatikani sana katika Afrika.