Mshtarii
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mshtarii ni sayari ya tano kutoka Jua katika Mfumo wa Jua, na sayari kubwa kabisa ya mfumo. Tungamo yake inazidi mara mbili na nusu masi ya sayari nyingine zote pamoja.
Ukweli wa haraka Jina, Asili ya jina ...
Mshtarii | |
---|---|
Picha ya Mshtarii iliyopigwa na Darubini ya Angani ya Hubble mnamo 2014. | |
Jina | |
Asili ya jina | Kar. المشتري (al-mushtari) |
Majina mengine | Mshitari, Mshiteri, Mshatira Jupiter/Jupita (Kng.) |
Alama | |
Tabia za njiamzingo | |
Umbali mfupi | km 740,595,000 au 4.9506 |
Umbali mrefu | km 816,363,000 au 5.4570 |
km 778,479,000 au 5.2038 | |
Uduaradufu | 0.0489 |
siku 4,332.59 miaka 11.862 | |
Mwinamo | 1.303° toka njia ya Jua |
Miezi | 95 |
Tabia za kimaumbile | |
km 69,911 | |
Tungamo | kg 1.8982×1027 mara 317.8 ya Dunia |
g/cm3 1.326 | |
Uvutano wa usoni | m/s2 24.79 |
saa 9.9258 | |
saa 9.9250 | |
Weupe | 0.503 (Bond) 0.538 (jiometri) |
Halijoto | K 165 (−108.15°C) |
Funga