MswakiFrom Wikipedia, the free encyclopedia Jina hilo ina linaweza kutumiwa tofauti angalia Miswaki (kata ya Uyui) Mswaki wa kisasa Miswaki kama hii inaweza kutumika pande zote mbili ili kusafisha meno. Mswaki mmojawapo. Fungu la miswaki. Mswaki (kutoka Kiarabu سواك, miswaq) ni kifaa cha kusafishia meno, ulimi na ngozi ndani ya mdomo.
Jina hilo ina linaweza kutumiwa tofauti angalia Miswaki (kata ya Uyui) Mswaki wa kisasa Miswaki kama hii inaweza kutumika pande zote mbili ili kusafisha meno. Mswaki mmojawapo. Fungu la miswaki. Mswaki (kutoka Kiarabu سواك, miswaq) ni kifaa cha kusafishia meno, ulimi na ngozi ndani ya mdomo.