Muteci
From Wikipedia, the free encyclopedia
Muteci (Kilatini : Mutecitana) ulikuwa mji wa Dola la Roma katika Mauretania Caesariensis. Upo karibu na mji wa Aïn-El-Anab, Algeria ya sasa, kaskazini mwa Afrika.