Mzamaji koo-jekundu (Gavia stellata) ni ndege wa maji anayehamahama kutoka nusudunia ya kaskazini.
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi ...
Mzamaji koo-jekundu |
Ndege mzima wenye manyoya ya kuzaa pamoja na kinda |
Uainishaji wa kisayansi |
Himaya: |
Animalia (Wanyama)
|
Faila: |
Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
|
Nusufaila: |
Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
|
Ngeli: |
Aves (Ndege)
|
Oda: |
Gaviiformes (Ndege kama wazamaji)
|
Familia: |
Gaviidae (Wazamaji)
|
Jenasi: |
Gavia Forster, 1788 |
Spishi: |
G. stellata (Pontoppidan, 1763) |
Visawe: |
Colymbus stellatus Pontoppidan, 1763
Colymbus lumme Brünnich, 1764
Colymbus septentrionalis Linnaeus, 1766
Gavia lumme Forster, 1788
Colymbus mulleri Brehm, 1826
Urinator lumme Stejneger, 1882 |
|
Njano: Majira ya kuzaa (baadaye baharini) |
Funga
Gavia stellata