Mülheim an der Ruhr
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mülheim an der Ruhr (Mülheim a. d. Ruhr) ni mji wa Rhine Kaskazini-Westfalia nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Ruhr. Idadi ya wakazi wake ni takriban 167,471. Mji ulianzishwa 1093.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Mülheim an der Ruhr | |||
| |||
Mahali pa mji wa Mülheim an der Ruhr katika Ujerumani |
|||
Majiranukta: 51°26′0″N 6°53′0″E | |||
Nchi | Ujerumani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Rhine Kaskazini-Westfalia | ||
Idadi ya wakazi (2009) | |||
- Wakazi kwa ujumla | 167,471 | ||
Tovuti: www.muelheim-ruhr.de |
Funga