NehemiaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Nehemia (kwa Kiebrania נְחֶמְיָה yaani: "Faraja ya Mungu" au: "Aliyefarijiwa na Mungu"), ni mtu wa Biblia, mhusika mkuu wa kitabu chenye jina lake. Picha takatifu ya Nehemia. Aliishi katika karne ya 5 KK.
Nehemia (kwa Kiebrania נְחֶמְיָה yaani: "Faraja ya Mungu" au: "Aliyefarijiwa na Mungu"), ni mtu wa Biblia, mhusika mkuu wa kitabu chenye jina lake. Picha takatifu ya Nehemia. Aliishi katika karne ya 5 KK.