New Brunswick
From Wikipedia, the free encyclopedia
New Brunswick (Brunswick Mpya) ni jimbo la Kanada upande wa Bahari Atlantiki. Ni moja kati ya majimbo ya bahari (Kiingereza: Maritime provinces) matatu ya Kanada. Imekuwa jimbo la Kanada tangu 1867.
Ukweli wa haraka Nchi, Mji mkuu ...
New Brunswick | |||
| |||
Nchi | Kanada | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Saint John | ||
Eneo | |||
- Jumla | 72,908 km² | ||
Tovuti: http://www.gnb.ca/ |
Funga
Lina eneo la 72,908 km².
Kunako mwaka wa 2009, idadi ya wakazi ilikuwa 748,319. Imepakana na Quebec na Nova Scotia.
Kuna lugha rasmi 2: Kiingereza na Kifaransa (32%).
Fredericton ni mji mkuu na Saint John ni mji mkubwa.
Jina la jimbo lilitolewa kwa heshima ya Mfalme George III wa Braunschweig (Kiingereza na Kifaransa: Brunswick) katika Ujerumani.