Rangi nyeupeFrom Wikipedia, the free encyclopedia Rangi nyeupe ni rangi nyepesi zaidi, kwa sababu inaonyesha kikamilifu na kugawa kila mwangaza wa nuru. Ua lenye rangi nyeupe. Ni rangi ya theluji safi, chaki na maziwa, na ni kinyume cha nyeusi. Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari.omh
Rangi nyeupe ni rangi nyepesi zaidi, kwa sababu inaonyesha kikamilifu na kugawa kila mwangaza wa nuru. Ua lenye rangi nyeupe. Ni rangi ya theluji safi, chaki na maziwa, na ni kinyume cha nyeusi. Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari.omh