Paka-pori
From Wikipedia, the free encyclopedia
Paka-pori (Felis lybica) ni mnyama mbuai wa nusufamilia Felinae katika familia Felidae. Paka huyu ana msambao mkubwa sana na anatokea Afrika na Asia ya Magharibi. Spishi hii ina nususpishi tatu.
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Paka-pori | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Paka-jangwa (Felis lybica) | ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
| ||||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||||
Nususpishi 3:
| ||||||||||||||||||
Msambao wa paka-pori | ||||||||||||||||||
Funga