Paneli ya solaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Paneli ya sola (pia: paneli ya Jua; kutoka Kiingereza: solar panel) hukusanya nishati kutoka Jua kwa matumizi ya binadamu. Mfumo wa kimsingi wa paneli ya sola Kuna aina mbili za paneli za sola paneli zinazokusanya joto (thermal) paneli za kuzalisha umeme (umemenuru, photovoltaic)
Paneli ya sola (pia: paneli ya Jua; kutoka Kiingereza: solar panel) hukusanya nishati kutoka Jua kwa matumizi ya binadamu. Mfumo wa kimsingi wa paneli ya sola Kuna aina mbili za paneli za sola paneli zinazokusanya joto (thermal) paneli za kuzalisha umeme (umemenuru, photovoltaic)