Paul Sabatier
From Wikipedia, the free encyclopedia
Paul Sabatier (5 Novemba 1854 ā 14 Agosti 1941) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ufaransa. Alichunguza sifa za elementi mbalimbali. Mwaka wa 1912 pamoja na Victor Grignard alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.