Porto Velho
From Wikipedia, the free encyclopedia
Porto Velho ni mji mkuu wa jimbo la Rondônia katika Brazil. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2008, kuna wakazi wapatao 380,000 wanaoishi katika mji huo. Mji upo m 85 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Ukweli wa haraka Nchi, Kanda ...
Porto Velho | |||
| |||
Majiranukta: 8°45′43″S 63°54′14″W | |||
Nchi | Brazil | ||
---|---|---|---|
Kanda | North | ||
Jimbo | Rondônia | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 379,186 | ||
Tovuti: www.portovelho.ro.gov.br |
Funga
Porto Velho ni mji wa bandari uliopo kwenye Mto Madeira. Wakati wa miezi ya mvua usawa wa maji hupanda juu, na meli kutoka Atlantiki hufikia Porto Velho.