Prince of Wales Island (Nunavut)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Prince of Wales Island (Nunavut) ni kisiwa kikubwa cha eneo la kaskazini mwa Nunavut (Kanada).
Kinapatikana katika Bahari ya Aktiki kikiwa na ukubwa wa kilometa mraba 33,339, ila hakina wakazi.