RamiaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Ramia ni kifaa kinachounganisha risasi na baruti kwa matumizi katika silaha ya moto. Ramia Ramia ya kisasa huwa na: 1) risasi yenyewe 2) ganda la ramia; mara nyingi ni ya metali 3) baruti au kemikali yenye uwezo wa kuwaka haraka mara moja ikitoa gesi 4) mguu wa ganda ni pana kwa kushikilia ramia kwenye chemba ya silaha 5) kiwashio ni kemikali linalowaka ikipigwa na moto yake inawasha baruti Zamani silaha za moto zilijazwa kupitia mdomo wa silaha kwa kuingiza baruti na risasi pekee. Ramia inaunganisha yote pamoja.
Ramia ni kifaa kinachounganisha risasi na baruti kwa matumizi katika silaha ya moto. Ramia Ramia ya kisasa huwa na: 1) risasi yenyewe 2) ganda la ramia; mara nyingi ni ya metali 3) baruti au kemikali yenye uwezo wa kuwaka haraka mara moja ikitoa gesi 4) mguu wa ganda ni pana kwa kushikilia ramia kwenye chemba ya silaha 5) kiwashio ni kemikali linalowaka ikipigwa na moto yake inawasha baruti Zamani silaha za moto zilijazwa kupitia mdomo wa silaha kwa kuingiza baruti na risasi pekee. Ramia inaunganisha yote pamoja.